Nenda kwa yaliyomo

Kimaori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
New Zealand

Kimaori (reo Māori) ni lugha ya Wamaori ambao ni wenyeji asilia nchini New Zealand.

KimaoriKiswahili
Kia ora, Ata mārie, Mōrena!Siku njema!
Kia ora!Habari!
Kei te pēhea koe?Habari yako?
AeNdiyo
EharaHapana
Ko wai tōu ingoa?Jina lako ni nani?
Nō hea koe?Unatoka wapi?
He reo Pākeha tōu?Unazungumza kiingereza?
Kia ora.Asante
tahimoja
ruambili
torutatu
whānne
rimatano
onosita
whitusaba
warunane
iwatisa
tekaukumi

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]