Tokelau
Mandhari
Tokelau ni kundi cha atolli tatu katika Pasifiki ambazo ni eneo la New Zealand. Atolli za Atafu, Nukunonu na Fakaofo ziko kaskazini ya New Zealand na upande wa mashariki wa Guinea Mpya. Visiwa vya karibu penye watu ni Samoa kwa umbali wa 480 km.
Idadi ya wakazi ni mnamo 1400 wanaosema lugha yao ya Kitokelau na kiasi cha Kiingereza.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tokelau Council of Ongoing Government (executive branch of the government)
- The Administrator of Tokelau Archived 5 Juni 2010 at the Wayback Machine. (Tokelau website of the NZ Ministry of Foreign Affairs and Trade)
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|