Uruguay
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Libertad o Muerte (Uhuru au Mauti) | |||||
Wimbo wa taifa: Orientales la Patria o la Tumba! | |||||
Mji mkuu | Montevideo | ||||
Mji mkubwa nchini | Montevideo | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri Luis Lacalle Pou | ||||
Uhuru Ilitangazwa Ilitambuliwa |
25 Agosti 1825 28 Agosti 1828 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
176,215 km² (ya 91) 1.5 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2022 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
3,407,213 (ya 132) 3,286,314 19.8/km² (ya 206 1) | ||||
Fedha | Peso ya Uruguay (UYU )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-3) (UTC-2) | ||||
Intaneti TLD | .uy | ||||
Kodi ya simu | +598
- |
Uruguay ni nchi ya Amerika Kusini upande wa mashariki ya bara kando ya Atlantiki.
Uruguay ni kati ya nchi ndogo kabisa za Amerika Kusini pamoja na Surinam.
Imepakana na Brazil na Argentina. Sehemu kubwa ya mipaka ya nje ni maji: mdomo mpana wa mto Rio de la Plata uko upande wa kusini-magharibi na Atlantiki upande wa kusini-mashariki.
Mji mkuu ni Montevideo wanapoishi zaidi ya nusu ya wakazi wote wa nchi (1,900,000 kati ya 3,407,000 hivi).
Watu
[hariri | hariri chanzo]Wakazi wengi (87.7%) wana asili ya Ulaya, hasa Hispania na Italia. Wenye asili ya Afrika ni 4.6% na Waindio 2.4% tu.
Lugha rasmi na ya kawaida ni Kihispania.
Upande wa dini, nchi haina dini rasmi. Wakazi wengi (54.3%) ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki (44.8%).
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Andrew, G. R. (2010) Blackness in the White Nation: A History of Afro-Uruguay, The University of North Carolina Press
- Behnke, A. (2009) Uruguay in Pictures, Twenty First Century Books
- Box, B. (2011) Footprint Focus: Uruguay, Footprint Travel Guides
- Burford, T. (2010) Bradt Travel Guide: Uruguay, Bradt Travel Guides
- Canel, E. (2010) Barrio Democracy in Latin America: Participatory Decentralization and Community Activism in Montevideo, The Pennsylvania State University Press
- Clark, G. (2008) Custom Guide: Uruguay, Lonely Planet
- Jawad, H. (2009) Four Weeks in Montevideo: The Story of World Cup 1930, Seventeen Media
- Lessa, F. and Druliolle, V. (eds.) (2011) The Memory of State Terrorism in the Southern Cone: Argentina, Chile, and Uruguay, Palgrave Macmillan
- Mool, M (2009) Budget Guide: Buenos Aires and Montevideo, Cybertours-X Verlag
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lango rasmi la Serikali Ilihifadhiwa 9 Agosti 2011 kwenye Wayback Machine.
- Uruguay entry at The World Factbook
- Uruguay Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Uruguay katika Open Directory Project
- Uruguay profile from the BBC News
- Wikimedia Atlas of Uruguay
- Simplemente Uruguay katika YouTube
- Development Forecasts
- World Bank Summary Trade Statistics Uruguay
Nchi na maeneo ya Amerika Kusini |
Argentina | Bolivia | Brazil | Chile | Ekuador | Guyana | Guyani ya Kifaransa | Kolombia | Paraguay | Peru | Surinam | Uruguay | Venezuela |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uruguay bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uruguay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |