Luis Lacalle Pou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Luis Alberto Alejandro Aparicio Lacalle Pou (amezaliwa 11 Agosti 1973) ni mwanasiasa na wakili wa Uruguay anayefanya kazi kama Rais wa Uruguay tangu tarehe 1 Machi 2020.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Luis Lacalle Pou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.