Nenda kwa yaliyomo

Septemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Septemba 2017)
Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Septemba ni mwezi wa tisa katika Kalenda ya Gregori. Jina lake limetokana na neno la Kilatini septem, maana yake ni "saba". Mwaka wa 153 KK, mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka Machi kwenda Januari, na maana ya jina lake Septemba ilipotea.

Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, ni siku mlingano (au ikwinoksi kutoka Kiingereza equinox) ambapo jua huvuka mstari wa ikweta, na muda wa usiku na mchana unalingana duniani kote (ila maeneo ya ncha ambapo nusu ya jua hubaki chini ya upeo wa macho na nusu nyingine juu kwa siku nzima).

Septemba ina siku 30, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa Desemba.

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: