Upeo wa macho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Upeo wa macho unaonekana kama mstari tukiwa baharini.

Upeo wa macho (en:horizon) ni mwisho wa yale yanayoonekana na macho.

Baharini, kutokana na usawa wa maji yake, upeo huo unaonekana kama mstari unaotenganisha dunia chini na anga juu.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upeo wa macho kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.