Released

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Released
Released Cover
Compilation album ya Westlife
Imetolewa 31 Machi 2005 (South Africa)
Imerekodiwa 1999 - 2005
Aina Pop
Lugha Kiingereza, Kihispania
Lebo Sony BMG
Wendo wa albamu za Westlife
Allow Us to Be Frank
(2004)
Released
(2005)
Face to Face
(2005)


Released ilikuwa albamu kutoka kwa Westlife na ilitolewa nchini Afrika Kusini pekee. Albamu hii ilitolewa rasmi tarehe 31 Machi 2005. Hii ikiwa katika ziara yao ya Face To Face [1] Albamu hii ina jumla ya nyimbo 18, ikiwa ni pamoja na rimixes ya nyimbo mbalimbali za kundi hili zilizowahi kupata umaarufu hapo kabla. Upande B wa albamu hii una nyimbo kama vile " "Don't Calm The Storm" na "I Won't Let You Down" ambao ulifanya vizuri katika redio za nchini humo. Pia inajumisha toleo la Kihispana la nyimbo za I Lay My Love on You na When You're Looking Like That.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. When You're Looking Like That (2000 Remix)
 2. Don't Calm The Storm
 3. I Won't Let You Down
 4. Tonight (Metro Mix)
 5. Angel (Remix)
 6. Close Your Eyes
 7. Where We Belong
 8. Until The End Of Time
 9. Bop Bop Baby (Almighty Mix)
 10. Mandy (Club Mix)
 11. Uptown Girl (Extended Version)
 12. Greased Lightning
 13. Nothing Is Impossible
 14. Lost In You
 15. You See Friends (I See Lovers)
 16. Westlife Megamix
 17. En Ti Deje Mi Amor (I Lay My Love on You)
 18. Con Lo Bien Que Te Ves (When You're Looking Like That)

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-12-04. Iliwekwa mnamo 2010-01-19. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]