Nenda kwa yaliyomo

Something Right

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Something Right”
“Something Right” cover
Single ya Westlife
kutoka katika albamu ya Back Home
Imetolewa 4 Aprili 2008
Muundo Pop R&B
Studio Sony BMG, RCA
Mtunzi Arnthor Birgisson, Rami Yacoub, Savan Kotecha
Mwenendo wa single za Westlife
"Us Against the World"
(2008)
"Something Right"
(2008)

"Something Right" ni wimbo ambao kwa mara ya kwanza uliimbwa na kundi kutoka nchini Ireland la Westlife. Wimbo unatoka katika albamu yao ya tisa iliyoitwa Back Home. Wimbo huu ulitolewa kama wimbo kutoka kwa kundi hili ukiwa ni single ya pili katika bara la Asia na Ulaya, ikifuata baada ya sinlge yao ya "Home". Wimbo huu uliyengenizwa na Rami Yacoub, Savan Kotecha na Arnthor Birgisson. Pia wamechangia katiks wimbo huu "Us Against the World", "The Easy Way", na "Pictures In My Head" na pia. Wimbo wa Back Home album.

Orodha ya Nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

CD ya Kwanza

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Something Right" (Single Mix)
  2. "Get Away" (Exclusive B-Side)

CD ya Pili

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Something Right" (Single Mix)
  2. "Something Right" (Instrumental)
  3. "Hard To Say I'm Sorry"
  4. "Something Right" (Video)

Muziki wa video

[hariri | hariri chanzo]

Video ya wimbo wa "Something Right" ilianza kutengenezwa tarehe 17 Desemba 2007. Na kuongozwa na Amber pamoja na Brown na imetengenezwa katika jiji la London

Chati Ulipata
nafasi
Australian Singles Chart 92
European Airplay Chart 66
Finnish Airplay Chart 9
German Airplay Chart 66
German Mainstream Airplay Chart 11
Norwegian Downloads Chart 39
Slovakian Airplay Chart [1] 83
Swedish Singles Chart [2] 46
Swedish Airplay Chart 18
Irish Singles Chart 43

Nchini Ireland, wimbo huu ulishika nafasi ya #43 japokuwa wimbo huu haukutoka rasmi kama single.

Wimbo huu ulishika nafasi ya #1 katika vituo mbalimbali vya redio nchini Afrika ya Kusini, China, Malaysia Philippines Thailand na Vietnam. Pia ulishika nafasi ya 2# nchini Indonesia na kushika nafasi ya 5 nchini Ujereumani wakati ukishika nafasi ya 16# nchin Switzeland na kushika nafasi ya 18 nchini Australia. Pia uliweza kuingia katika chati ya iTunes ya chini New Zealand.

  1. "Sns Ifpi". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-01-10. Iliwekwa mnamo 2010-01-08.
  2. swedishcharts.com - Westlife - Something Right

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]