Amazing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Amazing”
“Amazing” cover
Single ya Westlife
kutoka katika albamu ya Face to Face
Imetolewa 20 Februari 2006
Muundo CD Single
Aina Pop
Urefu 2:51
Studio Sony BMG
Mtunzi Kristian Lundin, Pilot, Savan Kotecha, Jake Schulze
Mtayarishaji Carl Falk
Mwenendo wa single za Westlife
"Amazing"
(2006)
(22)
"The Rose"
(2006)
(23)

"Amazing" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife ambao umetoka katika albamu yao ya tatu inayoitwa Face to Face. Single hii ndiyo inayongoza katika nyimbo za kundi hili kwa kupata mauzo madogo kupita single zote. Ulipata nafasi ya nne katika chati ya uziki ya Uingereza na kushuka kwa haraka hadi kutoka nje kabisa ya chati hiyo ya muziki.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

CD Ya Kwanza[hariri | hariri chanzo]

  1. "Amazing" (Single Mix) - 2:59
  2. "Still Here" - 3:51

CD Ya Pili[hariri | hariri chanzo]

  1. "Amazing" (Single Mix) - 2:59
  2. "Miss You When I'm Dreaming"
  3. "Exclusive Westlife Chat"

Muziki wa Video[hariri | hariri chanzo]

Video ya wimbo huu inaanza kwa kuonesha waimbaji wa kundi la Westlife wakiwa katika jengo asoishi mtu. Pia inaonesha picha ya kinakilishi kikiwa kinatoa karatasi mfululizo.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati Ulipata
nafasi
Australian Singles Chart 2
Irish Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 2
UK Singles Chart 4
UK Radio Airplay Chart 6

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]