Uptown Girl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Uptown Girl”
“Uptown Girl” cover
Single ya Billy Joel
Muundo Vinyl 7" [1]
Aina Pop rock
Urefu 3:12 [1]
Mtunzi Billy Joel
Certification Gold (RIAA)
Mwenendo wa single za Billy Joel
"Tell Her About It"
(1983)
"Uptown Girl"
(1983)

"Uptown Girl" ni wimbo uliondikwa na kuchezwa na mwanamuziki aitwaye Billy Joel, na ulitoka kwa mara ya kwanza mwaka 1983, katika albamu yake ya An Innocent Man. Mashairi katika wimbo huu yanaelezea maisha ya mtoto anaishi katika maeneo ya mitaani mwenye matarajio ya kumpata msichana wa mjini. Single hii ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu katika chati ya Billboard ya nchini Marekani, US,[2] na kushika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya nchini Uingereza na kushikilia nafasi hiyo kwa takribani kipindi cha wiki tano mfulilizo.Wimbo huu ndio ulishika nafasi ya pili kwa mauzo kwa mwaka 1983, nchini Uingereza na kufuatiwa na kundi pekee la utamaduni la Karma Chameleon,ambalo Mwanamuziki Joel aliweza kulitoa kutoka nafasi ya kwanza tarehe 1/11/1983. mwaka 1988, Rolling Stone uliupeleka wimbo wa "Uptown Girl" katika nafasi ya 99. katika listi ya nyimbo 100 bora za kipindi cha kuanzia mwaka 1963 hadi mwaka 1983. Wimbo huu ndio ulikuwa wimbo bora katika mauzo kwa mwaka 1983, nchini Uingereza

Aina ya muziki huu, ikiwa ni pamoja na aina ijulikanayo kwa midundo ya doo-wop ilipendwa sana na mwanamuzi Joel aliyekuwa akiimba kwa kutumia staili ya falsettona pia ni staili iliyotumika na Frankie Valli na kundi la The four Seasons Group. Wimbo huu pia umekuwa ukionekana kubalisha noti zake za muziki mara mbili tangu wimbo wake halisi ulipotoka

Hamasa[hariri | hariri chanzo]

Kwa mujibu wa Joel katika mahojiano ya kipindi cha Channel Five anasema wimbo huu aliundika kuhusu uhusiano wake na rafiki yake wa kike ambaye ni mwanamitindo Elle Macpherson, ambaye baadae alikija kuwa mke wa mtoto wake Christie Brinkley.[3] Joel also has said that the song was inspired by the Motown sound of the early 60s.[4]

Musiki wa Video[hariri | hariri chanzo]

Christie Brinkley,mwaka 2007.

Moja kati ya wahusika katika video hii ya muziki ni Christie Brinkley. Joel na Brinkley walifunga ndoa mwaka 1985, lakini walipeana talaka mwaka 1994. Wimbo huu haukuwepo katika nyimbo mbalimbali katika tamasha lake lililoitwa "River of Dreams".

Nafasi katika Chati[hariri | hariri chanzo]

Chart (1983) Ilipata
nafasi
Australian Kent Music Report 1
Austrian Singles Chart 18
Dutch Top 40 8[5]
German Media Control Charts 18
Japan Oricon Singles Chart 64
Norway Singles Chart 3
UK Singles Chart 1
U.S. Billboard Hot 100 3
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 2
U.S. Billboard Mainstream Rock Tracks 22

Toleo la Westlife[hariri | hariri chanzo]

“Uptown Girl”
“Uptown Girl” cover
Single ya Westlife
Muundo CD single
Aina Pop
Urefu 3:06
Certification Platinum (UK)
Gold (SWE)
Mwenendo wa single za Westlife
"I Lay My Love on You"
(2001)
"Uptown Girl"
(2001)

"Uptown Girl" Uliimbwa kwa mara pili na kundi la Muziki katoka nchini Ireland la Westlife katika albamu yao ya pili, ya Coast to Coast. Pia wimbo huu ulitolewa na tena kwa mara nyingine kama wimbo wa kufurahisha yaani Comic Relief single ya msaada.

Wimbo huu ulikuwa wimbo wa nane kutoka kwa Westlife kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na kushika nafasi hiyo kwa kipindi cha wiki moja. Kwa kulinganisha na toleo la Joel ambapo wimbo wake ulifanikiwa kushikilia nafasi ya kwanza kwa takribani kipindi cha wiki tano. Wimbo huu, ulishika nafasi ya 14, katika nyimbo zilizoongoza kwa mauzo kwa katika karne ya 21, nchi Uingereza kwa kuuza nakala 756,215. Ni wimbo wao uliowahi kuuza zaidi nchini Uingereza, na pia uliweza kuuza nakala 292,318, katika wiki ya kwanza.

Wimbo huu pia ulishika nafasi ya sita, katika nyimbo zilizoongoza kwa mauzo nchini Uingereza kwa mwaka 2001. Halikadhalika wimbo huu umepata nishani ya Platinum kwa upande wa mauzo nchini Uingereza kwa kufanikiwa kuuza kiasi cha nakala 600,000.

Mtiririko wa Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

CD ya nchini Uingereza[hariri | hariri chanzo]

  1. "Uptown Girl" (Radio Edit) - 3:06
  2. "Angels Wings" (2001 Remix) - 4:14
  3. "Enhanced CD-Rom" (With "Uptown Girl" Video)

CD ya 2[hariri | hariri chanzo]

  1. "Uptown Girl" (Radio Edit) - 3:06
  2. "Uptown Girl" (Extended Version) - 5:02
  3. "Enhanced CD-Rom"

CD ya Barani Ulaya[hariri | hariri chanzo]

  1. "Uptown Girl" (Radio Edit) - 3:06
  2. "Uptown Girl" (Extended Version) - 5:02
  3. "Angels Wings" - 4:02
  4. "Close Your Eyes" - 4:32
  5. "Enhanced CD-Rom" (With "Uptown Girl" Video)

Nyimbo za Video[hariri | hariri chanzo]

The video for this song was shot in a Cafe setting with Claudia Schiffer as the title character while Robert Bathurst, James Wilby, Ioan Gruffudd, Crispin Bonham-Carter and Tim McInnerny were featured as high class customers.

Mtiririko wa Matamasha[hariri | hariri chanzo]

Chati (2001) Ulipata
nafasi
Australian ARIA Singles Chart 6
Austrian Singles Chart 12
Belgian Singles Chart 5
Denmark Singles Chart 2
French Singles Chart 8
German Media Control Charts 8
Irish Singles Chart 1
Italian Singles Chart 10
Japanese Oricon Singles Chart 64
Netherlands Singles Chart 2
New Zealand RIANZ Singles Chart 4
Norway Singles Chart 3
Swedish Singles Chart 2
Swiss Singles Chart 13
UK Singles Chart 1
UK Radio Airplay Chart 9

Albamu ya Video[hariri | hariri chanzo]

Uptown Girl
Uptown Girl Cover
{{{Type}}} ya Westlife
Aina Pop
Wendo wa albamu za Westlife
Coast to Coast - Up Close and Personal
(2000)
Uptown Girl
(2001)

Albamu ya video ya wimbo huu,ulitoka tarehe 12 march 2001 ambapo uliweza kufika moja kwa moja katika nafasi ya kwanza.

Waimbaji wengine waliouimba[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid <ref> tag; no text was provided for refs named ramone
  2. Dean, Maury (2003). Rock N' Roll Gold Rush. Algora. pp. 137–138. ISBN 0-87586-207-1. 
  3. Channel Five Interview. "[1]".
  4. Channel Five Interview. "[2]".
  5. Dutch Top 40 1983 Archived 20 Februari 2009 at the Wayback Machine.. Retrieved 2009-01-08.
  6. http://www.palastorchester.de/index.php?id=13