Against All Odds (Take a Look at Me Now)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Against All Odds (Take a Look at Me Now)”
“Against All Odds (Take a Look at Me Now)” cover
Single ya Phil Collins
B-side "The Search"
Muundo 7"
Imerekodiwa 1983
Aina Soft rock
Urefu 3:23
Studio Atlantic
Mtunzi Phil Collins
Mtayarishaji Arif Mardin
Mwenendo wa single za Phil Collins
"Like China"
(1983)
"Against All Odds (Take a Look at Me Now)"
(1984)
"Easy Lover"
(1984)

"Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (pia huitwa kwa kifupi kama "Against All Odds") huu ni wimbo ambao awali uliimbwa na mwanamuziki wa Kiingereza Phil Collins. Wimbo huu pia umekuwa wimbo na maudhui ya filamu ya Against All Odds, kwa mara ya kwanza wimbo huu ulitokea katika mfulilizo wa nyimbo zake wa "Agaist All Odds"

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Phil Collins katika Video ya wimbo.

wimbo huu umeongozwa na Taylor Hackford, na kutayarishwa na Jeffrey Abelson, Wazo la kutengeneza video ya wimbo huu lilitoka kwa Keith Williams, mwandishi wa nyimbo ambaye tayari amekwisha fanya kazi na h Abelson katika video ya r "Dancin' With Myself" (Billy Idol) Wimbo huu umekuwa katika nafasi ya kwanza kwa wiki mbalimbali katika televisheni ya MTV na kuwa katika nafasi ya nne katika mwaka 1984 katika hesabu yake video bora za mwaka.[1]

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (1984) Ulipata
nafasi
Canadian Singles Chart 1
Dutch Singles Chart 12
German Singles Chart 9
UK Singles Chart 2
U.S. Billboard Hot 100 1
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks 3
U.S. Billboard Hot Mainstream Rock Tracks 1

Toleo la Mariah Carey[hariri | hariri chanzo]

“Against All Odds”
“Against All Odds” cover
Single ya Mariah Carey
kutoka katika albamu ya Rainbow
Imetolewa 2000
Aina Pop
Urefu 3:25
Studio Columbia
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Crybaby"/"Can't Take That Away (Mariah's Theme)"
(2000)
"Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (solo version)
(2000)

Mwimbaji wa Marekaniwa miondoko ya pop/R&B Mariah Carey alitengeneza wimbo huu kwa mara ya pili katika toleo lake mwenyewe ambapo aliimba ba Jimmy Jam and Terry Lewis katika albamu yake ya sita iliyoitwa Rainbow.

Carey alihariri wimbo huu na Steve Mac. ambapo wimbo huu ulitoka kama single katika albamu yake ya Rainbow. Japokuwa wimbo huo ulitoka kama sehemu ya albamu yake ya Rainbow nchini Marekani, lakini hakutoka kwa ajili ya shughuli za biashara nchini humo, lakini ulikuja kutoka katika baadhi ya masoko mwanzoni mwaka 2000

Wimbo huu ulipata mafanikio ya kawaida, japokuwa ulifanikiwa kufika hadi nafasi ya 20, katika nchi mbalimbali, lakini nafasi ya juu zaidi kuwahi kufikiwa na wimbo huu, ni nafasi ya pili ambayo ilikuwa nchini Norway

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Single CD ya Europe

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)"
  2. "Crybaby" (featuring Snoop Dogg)

European CD maxi-single

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)"
  2. "Crybaby" (featuring Snoop Dogg)
  3. "Thank God I Found You" (Stargate Radio Edit featuring Joe & 98°)
  4. "Can't Take That Away (Mariah's Theme)" (Morales Club Mix Edit)

Japanese CD single

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (featuring Westlife)
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (album version)
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit)
  4. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (instrumental)

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Video kwa toleo la Maria uliongozwa na Paul Misbehoven, ikionesha baadhi ya vijisehemu vya Mariah akiimba wimbo huu katika matasha yake mbalimbali aliyoyafanya katika ziara yake ya Raibow World Tour

Orodha[hariri | hariri chanzo]

Chati (2000) Ilichukua
nafasi
Belgian Flandres Singles Chart[2] 26
Belgian Wallonia Singles Chart[3] 15
Canadian Singles Chart[4] 22
Dutch Singles Chart[5] 20
French Singles Chart[6] 18
German Singles Chart[7] 29
Italian Singles Chart[8] 17
Norwegian Singles Chart[9] 2
Swiss Singles Chart[10] 20

Toleo la Westlife na Mariah Carey[hariri | hariri chanzo]

“Against All Odds”
“Against All Odds” cover
Single ya Mariah Carey featuring Westlife
kutoka katika albamu ya Coast to Coast
Imetolewa 18 Septemba 2000
Imerekodiwa Julai 1999—2000
Aina Pop
Urefu 3:25
Studio Sony BMG
Certification Silver (UK)

Mariah Carey baadae alirekodi wimbo wa "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" kwa kushirikiana na kundi la Westlife. Toleo hili lilikuwa katika albmu yao ya Coast to Coast. Wimbo ulitoka mwezi september mwaka 2000, miezi michache baada ya toleo la Carey

Wimbo huu ulifanya vizuri zaidi kuliko ule wa mara ya kwanza nchini Uingereza na Ireland ambapo ilishika nafasi ya kwanza, na kuwapa Westlife wimbo wa sita mfululizo kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya Uingereza,na kulifanya kundi hilo kuongoza kwa kuweza kufikisha nyimbo nyingi zaidi katika nafasi ya kwanza katika chati hiyo ya Uingereza, lakini pia hii ilimfanya Mariah kuwa na nyimbo iliyofika katika nafasi ya kwanza nchini Uingereza. Hadi leo Maria ameweza kufikisha katika nafasi ya kwanza wimbo wake namba moja katika chati ya Uingereza wimbo wake wa, "Without You".

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

UK CD1

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Main Mix) - 9:09
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Only Version) - 3:21
  4. "Westlife Interview" (CD Extra)

UK CD2

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Westlife Only Version) - 3:21
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Dub) - 6:48
  4. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Video) - 3:21

European CD

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Single Remix) - 3:21
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit) - 3:48

Australian CD

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Single Remix) - 3:21
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Main Mix) - 9:09

Japanese CD

  1. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Mariah Carey featuring Westlife) - 3:21
  2. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Album Version) - 3:39
  3. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Pound Boys Radio Edit) - 3:48
  4. "Against All Odds (Take a Look at Me Now)" (Instrumental) - 3:21

Video ya Wimbo[hariri | hariri chanzo]

Video ya wimbo huu imeonekana kuwa maarufu kuliko vido nyingine zozote katika nyimbo za Mariah. Video inamuonesha Mariah akiwa na Westlife wakiwa katika boti wakitazama kisiwa cha Capri

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2000) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[11] 52
Belgian Flandres Singles Chart[12] 50
Belgian Wallonia Singles Chart[13] 31
Dutch Singles Chart[14] 29
Irish Singles Chart[15] 1
Japanese Singles Chart[16] 78
Swedish Singles Chart[17] 3
UK Singles Chart[18] 1
UK Radio Airplay Chart 10

Toleo la The Postal Service[hariri | hariri chanzo]

“Against All Odds”
“Against All Odds” cover
Single ya {{{Msanii}}}
kutoka katika albamu ya Wicker Park
Imetolewa Septemba 1, 2004 (2004-09-01)
Muundo Digital download
Aina Alternative rock, electronica
Urefu 3:50
Studio Sub Pop
Mtayarishaji The Postal Service
Mwenendo wa single za {{{Msanii}}}
"The District Sleeps Alone Tonight" "Against All Odds"

Kundi la Kimarekani la The Postal Service lilirudia wimbo wa "Against All Odds" kama wimbo katika filamu yao ya mwaka 2004 Wicker Park. Kurudiwa huko kwa wimbo huo,kulikuja kutambulika kuwa moja ya marudio mazuri zaidi kuwahi kutokea kwa kipindi hicho New York Post.[19]

Muziki wa Video[hariri | hariri chanzo]

Video ya Muziki huu, inaanza kwa kuonesha baadhi ya vijisehemu kutoka katika filamu na baadae kuishia katika chumba

Karaoke[hariri | hariri chanzo]

Wimbo huu pia upo katika video ya Karaoke Revolution Volume 3.Pia unapatikana katika mchezo wa Karaoke Revolution Presents: American Idol Encore.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]