Nenda kwa yaliyomo

Taylor Hackford

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Taylor Hackford

Taylor Edwin Hackford (amezaliwa 31 Disemba 1944) ni mwongozaji wa filamu wa Marekani na raisi aliyepita wa Directors Guild of America. Aliweza kushinda Academy Award for Best Live Action Short Film kwenye filamu yake ya Teenage Father ya mwaka (1979). Haackford aliweza kuendelea kuongoza filamu mbalimbali, chache zilizoweza kutambulika haswa zikihusisha An Officer and a Gentlemen ya mwaka (1982) na Ray ya (2004), Hatimae aliweza kuonwa na kuweza kuteuliwa katika Academy Award for Best Director na Academy Award for Best Picture[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Evensen, Bruce J. (2013-04). Kazan, Elia (07 September 1909–28 September 2003), film director. American National Biography Online. Oxford University Press. {{cite book}}: Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taylor Hackford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.