Kian Egan
Mandhari
Kian Egan | |
---|---|
Kian Egan
| |
Maelezo ya awali | |
Aina ya muziki | Pop |
Kian John Francis Egan (alizaliwa tarehe 29 Aprili 1980, Sligo, nchini Ireland) ni mwimbaji katika kundi la Westlife.
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Egan alizaliwa na Patricia pampja na.Ana kaka zake watatu ambao ni Tom, Gavin na Colm, na kaka zake watatu; Marielle, Vivienne na Fenella. Amesoma katika chuo cha Summerhill iliyopo katika eneo la Sligo, ambapo hapo alikutana na wenzake Mark Feehily and Shane Filan.
Egan alimuoa mwigizaji na mwimbaji Jodi Albert, tarehe 8 Mai 2009 huko Barbados.