Nenda kwa yaliyomo

Allow Us to Be Frank

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allow Us to Be Frank
Allow Us to Be Frank Cover
Studio album ya Westlife
Imetolewa Novemba 8, 2004 (2004-11-08)
(see #Historia ya kutolewa)
Imerekodiwa 2004
Aina Big band
Urefu 39:21
Lugha Kiingereza
Lebo Sony BMG, RCA
Mtayarishaji Steve Mac
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Westlife
Turnaround
(2003)
Allow Us to Be Frank
(2004)
Face to Face
(2005)


Allow Us to Be Frank ni albamu ya sita kutoka kwa kundi la muziki wa pop la Westlife. Albamu ilitolewa tar. 8 Novemba 2004. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya nchini Ireland na kushika nafasi ya tatu nchini Marekani. Na kuifanya albamu hii kuwa albamu iliyoongoza kwa kupata nafasi ya chini katika chati mbalimbali za muziki hadi hii leo. Katika chati ya mwisho wa mwaka 2004, albamu hii ilipata nafasi ya 24 katika chati ya muziki ya nchini Uingereza.

Albamu hii pia ilijuisha baadhi ya nyimbo za mwanamuziki maarufu Frank Sinatra nyimbo kama vile "Fly Me to the Moon", "The Way You Look Tonight", "Come Fly With Me", "Moon River", "Summer Wind" na "That's Life". Na pia ilijumuisha wimbo maarufu wa Nat "King" Cole na , "When I Fall in Love".

Orodhay ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
# Jina Mtunzi Urefu
1 Ain't That a Kick in the Head Sammy Cahn, Jimmy Van Heusen 2:27
2 Fly Me to the Moon Bart Howard 2:31
3 Smile Charles Chaplin, Geoffrey Parsons, John Turner 2:50
4 Let There Be Love Ian Grant, Lionel Rand 2:45
5 The Way You Look Tonight Jerome Kern, Dorothy Fields 4:07
6 Come Fly With Me Cahn, Van Heusen 3:15
7 Mack the Knife Marc Blitzstein, Bertolt Brecht, Kurt Weill 3:10
8 I Left My Heart in San Francisco George Cory, Douglas Cross 2:59
9 Summer Wind Hans Bradtke, Henry Mayer, Johnny Mercer 2:58
10 Clementine Woody Harris, Percy Montrose 3:19
11 When I Fall in Love Edward Heyman, Victor Young 3:09
12 Moon River Johnny Mercer, Henry Mancini 2:40
13 That's Life Kelly Gordon, Dean Kay 3:13

* "Moon River" (Track 12) was included on the UK version of the album but not on the international version.

Historia ya kutolewa

[hariri | hariri chanzo]
Nchi Tarehe
Europe Novemba 8, 2004 (2004-11-08)
Philippines Novemba 13, 2004 (2004-11-13)
Taiwan Desemba 3, 2004 (2004-12-03)
Nchi Ilipata
nafasi
Certification
Ubelgiji 25 -
Denmark 15 -
Ireland 1 -
Netherlands 32 -
Sweden 5 -
Switzerland 75 -
Ufalme wa Muungano 3 2xPlatinum

[1]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]