Nenda kwa yaliyomo

The Way You Look Tonight

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“The Way You Look Tonight”
Single ya The Way You Look Tonight.jpg
kutoka katika albamu ya A Song for Young Love
B-side "That's My Desire"
Imetolewa 1961
Muundo 7" single
Aina Pop standard
Urefu 2:21
Studio Capitol
Mtunzi Dorothy Fields, Jerome Kern
Mwenendo wa single za The Way You Look Tonight.jpg
"The Way You Look Tonight"
(1961)
"When I Fall in Love"
(1961)

"The Way You Look Tonight" ni wimbo uliotokea katika filamau ya Swing Time. Wimbo huu kwanza uliimbwa na Fred Astaire. Wimbo huu pia ulipata tuzo ya Academy Award for Best Original Song mwaka 1936. Wimbo huu ulitungwa na Jerome Kern na kupewa mashairi na Dorothy Fields. Baadaye Fields alisema kuwa "Kwa mara ya kwanza wakati Jerry aliponiimbia wimbo huu nilitoka nje na kuanza kulia, uzuri wa wimbo huu sikuweza kujiuzia, ni mzuri kupita kiasi, sikiweza kujizuia, ni mzuri kupita kiasi.

Wimbo uliimbwa na John Lucky na pia uliimbwa na Fred Astaire akiwa amekaa katika kinanda Mwanamuziki mwingine anayeitwa Billie Holiday pia alirekodi wimbo huu mwaka 1936; mbapo toleo lake linapatikana katika albamu nyingi kama vile The Quintessential Billie Holiday, Vol.2. Halikadhalika wimbo huu uliimbwa na wanamuziki wengine kama vile, Frank Sinatra, Tony Bennett, Ella Fitzgerald, Michael Bublé, Joey McIntyre, Rod Stewart, Andy Williams, Ray Quil, Kris Allen, Steve Tyrell, James Darren, Harry Connick, Jr., na pia wanamuziki Bing Crosby waliimba wimbo huu kwa kushirikiana. Pia wimbo huu uliimbwa na kundi la The Lettermen na kuwa wimbo wao wa kwanza kuwahi kufanya vizuri mwaka 1961,(Billboard #13 pop, #3 easy listening ma kufanikiwa kushika nafasi ya 36 katika chati ya single ya Uingereza.

Pia wimbo huu umerudiwa na wanamuziki kama vile Chad & Jeremy, Bryan Ferry na Maroon 5. Ambapo katika toleo la kundi la The Lettermen's na Chad & Jeremy kidogo mindoko yake ilikuwa ya taratibu kuliko wimbo huu kama ulivyoimbwa kwa mara wa kwanza

Mwimbaji wa muziki wa aiana ya Jazz aitwaye Art Tatum pia ameuimba wimbo huu kwa kutumia vifaa vya muziki pekee Katika filamu iliyotengenezwa mwaka 1992 iliyoitwa Once Upon a Honeymoon, moja kati ya wasanii wa Carry Grant anamwambia Ginger Rogers kuwa. "you just the way you look tonight — er, today", akisema kwa kukumbushia katika wimbo huu, hasa katika filamu ambayo wimbo huu ulisikika kwa mara ya kwanza. "The Way You Look Tonight" unakumbukwa katika tamthilia ya Harold Pinter ya mwaka 1971, na pia tamthilia ya Old Times ambapo waigizaji wawili wanarejea mistari miwili iliyopo katika wimbo huu


Pia wimbo wa "The Way You Look Tonight" upo katika tamthilia ya Brian Friel ya mwaka 1979 iliyoitwa Fred Astaier ambapo umetokezea katika majibizano ya Teddy katika sehemu ya pili ya tamthilia hii. Pia wimbo huu upo katika filamu kama vile Chinatown, Hannah and Her Sisters, Father of the Bride (1991), My Best Friend's Wedding, na pia filamu ya Kenneth Branagh inayoitwa Peter's Friends na Love's Labour's Lost (2000). Pia mwanamuziki James Darren amerudia wimbo huu kama sehemu ya nyuma katika sehemu ya mwisho ya tamthilia ya "Seven-year Montage" pia katika sehemu ya mwisho ya Star Trek: Deep Space Nine, "What You Leave Behind". Pia umeimbwa na Allison Munn Pia mshini wa Ameriacan Idol Season 8 winner Kris Allen aliimba wimbo huu katika wiki ya Rat Pak Standard