Nenda kwa yaliyomo

Flying Without Wings

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Flying Without Wings”
“Flying Without Wings” cover
Single ya Westlife
Muundo CD single
Aina Pop
Mtunzi Andrew Lloyd Webber / Ben Elton

"Flying Without Wings" Ni wimbo wa kundi la WestlifeKutoka The Beautiful Game, wimbo ambao umetokana na jinalao wenyewe. Wimbo huu ulipata umaarufu zaidi nchi Uingereza au UK na katika maeneo mengi duniani. Wimbo huo ulikwa ni wimbo wa thelathini wa Westlife kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Muziki ya Uingereza. Na pia ndio wimbo ulioongoza kwa mauzo kwa upande wa nyimbo za Westlife hadi hii leo.

Wimbo wa "Flying Without Wings" Pia umetumika katika filamu ya Pokémon: The Movie 2000. mnamo mwaka 2002, Kundi hili la Muziki lilirekodi wimbo huu kwa mara ya pili na kumshirikisha mwanamuziki wa Mexiko Cristian Castro na pia waliimba na mwanamuziki kutoka Korea ya Kusini BoA.Nyimbo hizi zilizoshirikisha wanamuziki mbalimabli pia, zilijumuishwa katika albamu yao ya Greatest Hitsalbamu ambayo ilitoka mwaka huo huo.

Mwaka 2004, Westlife walitoa wimbo wa huo kama onesho la moja kwa moja, Flying Without Wings (live version), ambali lilifanyika katika ziara yao ya Stockholm, na mwaka 2004, wimbo huo ulikuwa wimbo wa kwanza ulio katika mfumo wa digitali katika historia ya nchini Uingereza.

Wimbo huo, uliweza kuuza nakala zaidi ya 200,000 nchini Uingereza pekee. Wimbo wa That's What Is All About. wimbo ambao pia ulitoka na wimbo huu, ulichezwa Hong Kong na kushika nafasi ya saba katika chati ya muziki ya jimbo la Hong Kong. Kundi la JLS liliimba wimbo huo pamoja na kundi la Westlife katika kufungwa kwa tamasha la The X Factor.

Mtiririko wa nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

CD ya Kwanza Uingereza

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Flying Without Wings" - 3:35
  2. "Everybody Knows" - 4:09
  3. "CD-Rom"

CD ya pili ya Uingereza

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Flying Without Wings" - 3:35
  2. "That's What It's All About" - 3:20
  3. "Flying Without Wings" (Acappella mix) - 3:29

Cd ya Australia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Flying Without Wings" - 3:35
  2. "I Have a Dream" - 4:06
  3. "Seasons in the Sun" - 4:10
  4. "CD-Rom"

Mtiririko wa Maonesho

[hariri | hariri chanzo]
Nchi/Chati nafasi
nafasi
Australian ARIA Singles Chart 31
Belgian Singles Chart 7
German Singles Chart 85
Irish Singles Chart 1
Dutch Top 40 17
Norwegian Singles Chart 7
New Zealand Singles Chart 6
Swedish Singles Chart 12
UK Singles Chart 1
UK Radio Airplay Chart 8

Kutengeneza CD

[hariri | hariri chanzo]
Arranged by (strings) : Richard Niles
Arranged by (vocals) : Ben Elton, Andrew Lloyd Webber
Arranged by, mixed by : Ben Elton
Artwork by (design) : Root
Photography : Brian Aris
Bass guitar : Steve Pearce
Guitar : Paul Gendler
Performer (Choir Md) : Benny Diggs
Engineer (Mix) : Matt Howe
Engineer, pProgrammed by : Chris Laws
Other (management) : Louis Walsh, Ronan Keating


Flying Without Wings Karaoke
Flying Without Wings Karaoke Cover
{{{Type}}} ya Westlife
Aina Pop


Albamu ya Video

[hariri | hariri chanzo]

Toleo la Karaoke la wimbo wa "Flying Without Wings" liliotka katika DVD mwaka 2000, na kushika nafasi ya kwanza.


Aliyeimba mara ya Pili

[hariri | hariri chanzo]
“Flying Without Wings”
“Flying Without Wings” cover
Single ya Ruben Studdard
Muundo CD single
Aina Urban contemporary, contemporary R&B
Mtunzi Andrew Lloyd Webber / Ben Elton
Certification Gold (RIAA)
3× Platinum (CRIA)

Wimbo wa "Flying Without Wings" Uliimbwa na mshindi wa American Idol anayeitwa Ruben Studdard kama wimbo wake mwaka 2003. Wimbo huu ulitoka tarehe 10 mwezi wa 6, na ulifanikiwa kushika nafasi ya pili katika chati ya muziki ya Billboard Hot 100 tarehe 28 mwezi wa sita. Wimbo wa "Flying Without Wings" pia ulipata umaarufu katika chati ya Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks na kushika nafasi ya tatu, huku ikishika nafasi ya 27, katika chati ya watu wazima.Wimbo huu pia ulitolewa nchini New Zealand na kufikia hadi nafasi ya 2, nyuma ya Clay Aiken wimbo huu, umeshauza nakala ziadi ya 753,000 tangu mwezi wa Desemba mwaka 2006

Mtiririko wa Nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Flying Without Wings"
  2. "Superstar"

Wimbo huu, unatokea katika toleo la Karaoke la Amrican IdolKaraoke Revolution Presents: American Idol.

Mwimbji wa Australia Delta Goodrem aliyeimba wimbo huu na rafi yake wa kiume na mwimbaji wa zamani wa Westlife Brian McFadden, katika ziara yake ya kitaifa ya mwakak 2005.

Viunga vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Alitanguliwa na
{{{before}}}
{{{title}}}
{{{years}}}
Akafuatiwa na
{{{after}}}
Alitanguliwa na
A Moment Like This
American Idol winner's singles
Flying Without Wings (2003)
Akafuatiwa na
I Believe (Fantasia song)