The Karaoke Collection ni DVD ya kundi la Westlife iliyotoka nchini Hong Kong pekee mnamo mwezi Januari mwaka 2009. DVD hii ina nyimbo zao za video zipatazo 22, mingi kati ya hiyo ni nyimbo zalizofanya vizuri katika chati mbalimbali za nchini Uingereza na maeneo mengine. DVD ya Karaoke ndiyo iliyokuwa DVD ya kwanza kutengenezwa kutoka kwa kundi la hili katika kampuni ya Sony.
Wakiwa na kiasi cha nakala za albamu zao zipatazo milioni 20, zilizouzwa ulimwenguni kote, ambazo kati ya albamu zao, albamu zipatazao 14 zikifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza, kundi la Westlife linakuja na aDVD ya Karaoke. Mashabiki wanaweza sasa wakaimba nyimbo za Westlife pamoja na kundi hili, nyimbo wazipendazo. Toleo hili pia linajumuisha nyimbo zao maarufu kama vile 'Flying Without Wings', 'Swear It Again', 'Uptown Girl', 'Home', 'You Raise Me Up' na nyingine nyingi’'
The Westlife Story •Flying Without Wings Karaoke •Coast To Coast - Up, Close and Personal •Uptown Girl •World Of Our Own •Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 •Westlife - The Complete Story •Back Home •The Karaoke Collection