Obvious
“Obvious” | |||||
---|---|---|---|---|---|
![]() | |||||
Single ya Westlife | |||||
Imetolewa | 23 Februari 2004 | ||||
Muundo | CD Single | ||||
Imerekodiwa | 2003 | ||||
Aina | Pop | ||||
Studio | Sony BMG | ||||
Mtunzi | Andreas Carlsson, Pilot, Savan Kotecha, | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
"Obvious" ni wimbo kutoka kwa kundi la Westlife, ulitolewa kama single ya tatu kutoka katika albamu yao ya nne iliyojulikana kwa jina la Turnaround.
Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]
CD ya kwanza[hariri | hariri chanzo]
- Obvious (Single Mix)
- I'm Missing Loving You
- To Be With You (Live From The Greatest Hits Tour)
- Obvious (Video)
- Obvious (Making Of The Video)
CD ya pili[hariri | hariri chanzo]
- Obvious (Single Mix)
- Westlife Hits Medley (Flying Without Wings / My Love / Mandy)
Chati[hariri | hariri chanzo]
Chati | Ilipata nafasi |
---|---|
Austrian Singles Chart | 63 |
Danish Singles Chart | 7 |
Dutch Singles Chart | 44 |
European Singles Chart | 9 |
German Airplay Chart | 29 |
German Singles Chart | 39 |
Irish Singles Chart | 2 |
Swedish Singles Chart | 25 |
Swiss Singles Chart | 69 |
UK Singles Chart | 3 |
UK Radio Airplay Chart | 11 |
Waliourudia[hariri | hariri chanzo]
Mwimbaji Anthony Callea, aliyekuwa moja ya washiriki katika shindano la Australian Idol kwa mwaka 2004 aliurudia wimbo huu kati albamu yake iliyofanya vizuri ya Anthony Callea ya mwaka 2005.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- http://www.everyhit.com/searchsec.php
- http://www.amazon.co.uk/Obvious-CD-1-Westlife/dp/B0001CKR78/ref=sr_1_2?ie=UTF8&s=music&qid=1196162926&sr=1-2
Viungo ya nje[hariri | hariri chanzo]
Jua habari zaidi kuhusu Westlife kwa kutafuta kupitia mradi wa Wikipedia Sister | |
---|---|
![]() |
Uchambuzi wa kamusi kutoka Wikamusi |
![]() |
Vitabu kutoka Wikitabu |
![]() |
Dondoo kutoka Wikidondoa |
![]() |
Matini za vyanzo kutoka Wikichanzo |
![]() |
Picha na media kutoka Commons |
![]() |
Habari kutoka Wikihabari |
![]() |
Vyanzo vya elimu kutoka Wikichuo |