Nenda kwa yaliyomo

Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 Cover
Greatest hits ya Westlife
Imetolewa 11 Novemba 2002
Imerekodiwa 1998-2002
Aina Pop
Ballad
Teen pop
Urefu 77:56 (International/European Version)
74:31 (UK Version)
Lugha kiingereza
Lebo Sony BMG
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Westlife
World of Our Own
(2001)
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1
(2002)


Unbreakable – The Greatest Hits Vol. 1. Hii ni albamu ya nne kutoka katika kundi la Westlife. Albamu hii ilitoka tar. 11 Novemba 2002. Ilifanikiwa kufika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uingereza na kushika nafasi ya 66 nchini Australia. Halikadhalika ilifanikiwa kuuza nakala zaidi ya milioni 1.4 nchini Uingereza pekee. Pia ni moja kati ya albamu za kundi hili ziliwahi kushika nafasi ya juu zaidi katika chati mbalimbali za muziki. Albamu hii ilifanikiwa kufika katika nafasi ya 9 katika albamu zilizoongoza kwa mauzo kwa mwaka 2002 nchini Uingereza. Pia iliweza kuingia kwa mara ya pili katika chati ya mwisho wa mwaka nchini Uingereza katika mwaka 2007, na kushika nafasi ya 107 Mwezi Oktoba mwaka 2008, ilitangazwa kuwa, albamu hii tayari ilikuwa imeshauza nakala zaidi ya milioni mbili katika bara Ulaya pekee. . Katika chati za mwisho wa mwaka, albamu hii iliingia kwa mara nyingine tena katika nafasi ya 79 na kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 191,000 katika mwaka huo pekee. Albamu hii inajumuisha nyimbo zao za hapo mwazo za zilizopata kuvuma, lakini na nyingine 6 ambazo ni "How Does It Feel" na "Love Takes Two" .Wimbo wa "Flying Without Wings" ulirekodiwa kwa mara nyingine kwa kusirikiana na mwanamuziki wa Korea BoA na Cristian Castro, na pia wimbo huuulijumuishwa katika toleo la Asia na lile la Uhispania.

Single ya kwanza kutolewa kutoka katika albamu hii ni wimbo wa "Unbreakable", wimbo ambao ulifika katika nafasi ya kwanza katika chati ya muziki ya Uinereza. Single ya pili ilikuwa "Tonight/Miss You Nights" na kushika nafasi ya #3 nchini Uingereza.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
Wimbo
Namba.
Jina Wafanyakazi Urefu
1 "Swear It Again (Radio Edit)" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Steve Mac, Wayne Hector

4:07
2 "If I Let You Go (Radio Edit)" Produced, Arranged By - David Kreuger, Per Magnusson

Written By - Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger

3:41
3 "Flying Without Wings" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Steve Mac, Wayne Hector

3:36
4 "I Have A Dream (Remix)" Produced - Dan Frampton, Pete Waterman

Remix, Producer [Additional] - John Holliday, Trevor Steel
Written By - B. Andersson, B. Ulvaeus

4:15
5 "Fool Again (2000 Remix)" Produced, Arranged By, Programmed By - David Kreuger, Per Magnusson

Written By - Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger

3:40
6 "Against All Odds (Take A Look At Me Now)" Produced - Mariah Carey, Steve Mac

Vocals [Featuring], Arranged By [Vocals] - Mariah Carey
Written By - Phil Collins

3:21
7 "My Love (Radio Edit)" Produced, Arranged By - David Kreuger, Per Magnusson

Written By - Jörgen Elofsson, Pelle Nylén, David Kreuger, Per Magnusson

3:53
8.1 "I Lay My Love on You"
(International version only)
Produced, Arranged By - David Kreuger, Per Magnusson

Written By - Jörgen Elofsson, Per Magnusson, David Kreuger

3:29
8.2 "What Makes a Man (Single Mix)"
(UK/Ireland version only)
Produced - Steve Mac 3:32
9 "Uptown Girl (Radio Edit)" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Billy Joel

3:07
10 "Queen of My Heart (Radio Edit)" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - McLaughlin, Robson, Mac, Hector

4:19
11 "World of Our Own"
(UK/Ireland Version Only)
Produced, Arranged By - Steve Mac

Mastered By - Ted Jensen
Remix, Producer [Additional] - Andy Zulla, Stevie 2 Bars
Written By - Mac, Hector

3:32
11 "World of Our Own" (U.S Mix)
(International Version Only)
Produced, Arranged By - Steve Mac

Mastered By - Ted Jensen
Remix, Producer [Additional] - Andy Zulla, Stevie 2 Bars
Written By - Mac, Hector

3:28
12 "Bop Bop Baby" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - McFadden, Filan, Murphy, O'Brien

4:30
13 "When You're Looking Like That (Single Remix)" Produced, Engineer - Rami Yacoub

Written By - Rami, Andreas Carlsson, Max Martin

3:54
14 "Unbreakable (Single Remix)" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Jörgen Elofsson, John Reid

4:33
15 "Written In The Stars" Produced, Recorded By - David Stenmarck, Nick Jarl

Written By - Nick Jarl, David Stenmarck, Andreas Carlsson

4:10
16 "How Does It Feel" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - McFadden, Filan, Romdhane, Larossi

4:19
17 "Tonight" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - S. Mac, W. Hector, Jörgen Elofsson

4:32
18 "Love Takes Two" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - S. Mac, W. Hector

3:49
19 "Miss You Nights" Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Dave Townsend

3:22
Bonus Tracks
20.1 "Flying Without Wings" (Featuring BoA) Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Steve Mac, Wayne Hector
Vocals [Featuring], Arranged By [Vocals] - BoA

3:09
20.2 "Flying Without Wings" (Featuring Cristian Castro) Produced, Arranged By, Mixed By - Steve Mac

Written By - Steve Mac, Wayne Hector
Vocals [Featuring], Arranged By [Vocals] - Cristian Castro

3:36
Nchi Ilipata
nafasi
Certification
Ufalme wa Muungano[1] 1 4x Platinum
Ireland 1 align="center"
Philippines 1 align="center"
Sweden[2] 2 Platinum
Netherlands[3] 3 align="center"
Denmark[4] 4 align="center"
New Zealand[5] 4 align="center"
Ujerumani[6] 7 align="center"
Norway[7] 10 align="center"
Austria[8] 14 align="center"
Switzerland[9] 14 align="center"
Ubelgiji[10] 27 align="center"

Ziara ya The Greatest Hits

[hariri | hariri chanzo]

Tazama makala yaZiara ya The Greatest Hits.

Video ya Albamu

[hariri | hariri chanzo]
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1 Cover
Video ya Westlife
Imetolewa 15 Novemba 2002
Aina Pop
Urefu 158
Lebo Sony BMG
Mwongozaji Brett Turnbull
Wendo wa albamu za Westlife video
World Of Our Own
(2002)
Unbreakable - The Greatest Hits Vol. 1
(2002)
Unbreakable - The Greatest Hits Tour
(2003)


orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Swear It Again
  2. If I Let You Go
  3. Flying Without Wings
  4. I Have A Dream
  5. Seasons In The Sun
  6. Fool Again
  7. Against All Odds
  8. My Love
  9. What Makes A Man
  10. Uptown Girl
  11. When You're Looking Like That
  12. I Lay My Love On You
  13. Queen Of My Heart
  14. Angel
  15. World Of Our Own
  16. World Of Our Own (US version)
  17. Bop Bop Baby
  18. Unbreakable
  19. Swear It Again (US version)
  20. Documentary
  21. Before They Were Famous...

Unbreakable:Toleo la tamasha la 2008 NZ

[hariri | hariri chanzo]
Unbreakable: 2008 NZ Tour Edition
Unbreakable: 2008 NZ Tour Edition Cover
Compilation album ya Westlife
Imetolewa 2008 (New Zealand)
Imerekodiwa 1998-2002, 2006
Aina Pop
Lebo Sony BMG
Wendo wa albamu za Westlife
Back Home
(2007)
Unbreakable: 2008 NZ Tour Edition
(2008)


Albamu ya "Unbreakable - The Greatest Hits Vol.1 " ilitoka pamoja na tamasha la "Live At Wembley" , tamasha lililofanyika mwaka 2006, Diski hii ilitoka ikiwa na jina hilohilo la "Unbreakable: The Greatest Hits-2008 NZ Tour Edition" na ilitoka nchini New Zealand mwaka 2008. Ilishika nafasi ya kwanza na kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 30,000, na kumalizia ikiwa na nafasi ya #19 katika mwaka 2008.

  1. UK album chart
  2. Swedish album chart
  3. Netherlands album chart
  4. "Denish album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-01-16. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
  5. "New Zealand album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-03-13. Iliwekwa mnamo 2021-01-17. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help); Unknown parameter |https://web.archive.org/web/20180313211811/http://charts.org.nz/showitem.asp?interpret= ignored (help)
  6. "German album chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-07-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
  7. Norwegian album chart
  8. Italian album chart
  9. Switzerland album chart
  10. Belgium album chart

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]