Nenda kwa yaliyomo

Polynesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pembetatu ya Polynesia
* 1. Polynesia * 2. Hawaii * 3. New Zealand * 4. Kisiwa cha Pasaka * 5. Samoa * 6. Fiji * 7. Tahiti

Polinesia (kutoka Kigiriki: πολύς, polius, vingi, + νῆσος, nesos, kisiwa, yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 hivi katika Pasifiki ya kati na kusini.

Laenea kati ya Hawaii, Nyuzilandi na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polinesia".

Visiwa vya Polinesia

[hariri | hariri chanzo]
Soko mjini Papetee (Polinesia ya Kifaransa)
Hori la Christchurch kwenye pwani ya mashariki ya New Zealand
Nyumba ya Tahiti (uchoraji wa Kizungu mnamo 1842)
Hawaii kwa macho ya ndege
Visiwa na funguvisiwa zifuatazo ni sehemu za Polynesia:
Nchi huru
Visiwa vya Cook nchi inayoshirikana na Nyuzilandi
Kiribati (nchi huru)
Nyuzilandi (nchi huru)
Niue nchi inayoshirikana na Nyuzilandi
Samoa (nchi huru)
Tonga (nchi huru)
Tuvalu (nchi huru)
Maeneo yaliyo chini ya nchi za nje
Samoa ya Marekani Eneo la ng'ambo la Marekani
Polinesia ya Kifaransa Eneo la ng’ambo la Ufaransa
Hawaii Jimbo la Marekani
Kisiwa cha Pasaka Eneo la ng’ambo la Chile
Pitcairn Eneo la ng’ambo la Uingereza
Tokelau Eneo la ng’ambo la Nyuzilandi
Wallis na Futuna Eneo la ng’ambo la Ufaransa
Maeneo ya nchi za Polynesia nje ya Pembetatu ya Polynesia
Anuta Eneo la Visiwa vya Solomon
Emae Eneo la Vanuatu
Kapingamarangi Eneo la Shirikisho la Mikronesia
Mele Eneo la Vanuatu
Nuguria Eneo la Papua Guinea Mpya
Nukumanu Eneo la Papua Guinea Mpya
Nukuoro Eneo la Shirikisho la Mikronesia
Ontong Java Eneo la Visiwa vya Solomon
Pileni Eneo la Visiwa vya Solomon
Rennell Eneo la Visiwa vya Solomon
Sikaiana Eneo la Visiwa vya Solomon
Tikopia Eneo la Visiwa vya Solomon
Takuu Eneo la Papua Guinea Mpya
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.