Orodha ya Vyuo Vikuu vya Tanzania
Mandhari
Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Tanzania.
- Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
- Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
- Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
- Chuo Kikuu cha Bukoba
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
- Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
- Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)
- Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU)
- Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
- Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)
- Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)
- Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
- Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
- Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
- Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
- Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
- Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
- Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
- Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)
- Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
- Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
- Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)
- Moravian Theological College
Taasisi zilizoondolewa hadhi ya Chuo Kikuu
[hariri | hariri chanzo]- Josiah Kibira University College (JOKUCo, Kagera) [1]
- Chuo Kikuu cha Mlima Meru (MMU), Mount Meru University, (Arusha) [2]
- International Medical and Technical University (IMTU, Dar es Salaam)[3]
- University of Bagamoyo (UoB)[4]
- Cambridge Institute of Tourism Management Tanzania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/news/TCU-deregisters-four-higher-learning-institutions-over-quality/1840340-5426068-uu2iflz/index.html
- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/news/TCU-deregisters-four-higher-learning-institutions-over-quality/1840340-5426068-uu2iflz/index.html
- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/news/TCU-deregisters-four-higher-learning-institutions-over-quality/1840340-5426068-uu2iflz/index.html
- ↑ https://www.thecitizen.co.tz/news/TCU-deregisters-four-higher-learning-institutions-over-quality/1840340-5426068-uu2iflz/index.html