Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge
Mandhari
Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU), zamani Chuo Kikuu cha Elimu cha Mwenge (MWUCE), ni chuo kikuu ambacho kiko chini ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, uliopo Moshi, Tanzania.
Kilianzishwa kama Chuo cha Ualimu cha St Joseph. Baadae kama Chuo Kikuu cha Elimu cha Mwenge, kilikuwa ni tawi la Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2016 Exhibitions participants - Tanzania Commission for University". web.archive.org. 2016-08-26. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-26. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |