Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Chuo Kikuu cha Morogoro)

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro (kifupi: MUM) ni chuo kikuu cha binafsi cha Waislamu kinachopatikana Morogoro, Tanzania.[1]

Chuo hicho kilianzishwa rasmi mwaka 2004.[2] [3][4]

Chuo kikuu kina idara tano ambazo ni: 1. sanaa na ubinadamu; 2. Masomo ya Kiislamu; 3. sheria; 4. sayansi; 5. masomo ya biashara.

Chuo kikuu hicho kinatoa jumla ya programu nane (8) katika ngazi ya shahada ya kwanza.

  1. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2015-09-24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
  2. "TANZANIA: FIRST MUSLIM UNIVERSITY INAUGURATED. - Info-Prod Research (Middle East) | HighBeam Research". web.archive.org. 2016-12-20. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-12-20. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
  3. "ACU members". www.acu.ac.uk. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.
  4. "wanachama wa ACU Tanzania". www.acu.ac.uk/. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.