Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro (MUM) ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana Morogoro, Tanzania.[1]

Chuo kikuu cha Morogoro kilianzishwa rasmi mwaka 2004.[2][3] Chuo kikuuu cha Morogoro kinatoa jumla ya programu nane (8) katika ngazi ya shahada.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Orodha ya vyuo vikuu (PDF). Tanzania Commission for Universities. Jalada kutoka ya awali juu ya 24 September 2015. Iliwekwa mnamo 15 July 2013.
  2. CHuo cha kwanza cha kiislamu Tanzania chafunguliwa.. Info-Prod Research (Middle East)Kigezo:Subscription required (24 May 2004). Iliwekwa mnamo 15 February 2013.
  3. wanachama wa ACU Tanzania. www.acu.ac.uk/. Iliwekwa mnamo 15 February 2013.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.