Orodha ya Vyuo Vikuu vya Afrika Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu cha Pretoria

Hii ni orodha ya vyuo vikuu katika nchi ya Afrika Kusini.

Mnamo mwaka wa 2004 nchi ya Afrika Kusini ilianza kurekebisha mfumo wake wa elimu ya juu. Ilianza kuunganisha na kushirikisha vyuo vikuu vidogo na kuunda taasisi kubwa, hii ikiwa ni pamoja kuzipa na kuziainisha taasisi zote za elimu ya juu kama “vyuo vikuu” (hapo awali palikuwa na aina tofauti za taasisi za elimu ya juu). Vyuo vikuu na taasisi zilizofunza ufundi na ambazo zimeshirikishwa na vyuo vingine na hivyo hazipo tena zimeorodheshwa mwisho mwa makala haya.

Kuna idadi kubwa ya taasisi nyingine Afrika Kusini- zikiwa za humo nchini na nyingine za kigeni; baadhi hutoa mafunzo ya mbali yaani wanafunzi kusoma na kufanya mitihani wakiwa nje ya chuo ilhali baadhi hutoa stashahada ambazo hazijasajiliwa.

Kwa taasisi za masoma baada ya shule za upili tazama taasisi za Afrika Kusini.

Vyuo rasmi vya Afrika Kusini[hariri | hariri chanzo]

Vyuo vikuu vya Afrika Kusini vimeainishwa katika sehemu tatu yaani: Vyuo vya kimapokeo vinavyotoa shahada ya nadharia, vyuo vikuu vya teknolojia vinavyotoa shahada za ufundi na vyuo vikuu vinavyotoa shahada ya nadharia na ufundi kwa pamoja. [1]

Vyuo vikuu vya kimapokeo[hariri | hariri chanzo]

Vyuo vikuu vya nadharia na ufundi[hariri | hariri chanzo]

Vyuo vikuu vya teknolojia[hariri | hariri chanzo]

Vyuo vingine vinavyotoa shahada[hariri | hariri chanzo]

Taasisi za Afrika Kusini[hariri | hariri chanzo]

Vyuo vya kigeni vinanyotoa shahada Afrika Kusini[hariri | hariri chanzo]

  • Chuo cha masomo ya Biashara cha Edinburgh (Roodepoort)
  • Chuo cha Mipango ya Usimamizi cha Henley, Afrika Kusini (Johannesburg)
  • Chuo Kikuu cha Luton ( Kupitia Chuo cha Masomo ya Biashara cha Regent, Durban)
  • Chuo cha Monash cha Afrika Kusini (Johannesburg)
  • Chuo Kikuu cha Queensland Kusini (Elimu ya mbali; Kituo saidizi katika mji wa Johannesburg)
  • Chuo Kikuu cha Sedona (Johannesburg)
  • Chuo Kikuu cha Metaphysics (Johannesburg)
  • Chuo Kikuu cha Regent (Kupitia shule ya uungu yaChuo cha Dini cha Doxa Deo)

Vyuo vikuu na vyuo vya teknolojia vya hapo awali[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2005, HESA Structures, Archived 25 Julai 2018 at the Wayback Machine. , Higher Education South Africa. Rudishwa 24 Februari 2006.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]