Chuo Kikuu cha Ardhi
Mandhari
Chuo Kikuu cha Ardhi ni chuo kikuu cha umma kilichopo katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania.[1] Kilianzishwa rasmi tarehe 28 Machi 2007, ingawa kimekuwa kikitoa mafunzo kwa zaidi ya miaka 60 sasa. Kiko jirani na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, ambapo kilikuwa chuo kikuu kishiriki kuanzia mwaka 1996 hadi 2007.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Chuo kilianzishwa chini ya sheria ya vyuo vikuu namba 7 ya mwaka 2005[2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Orodha ya vyuo vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Historia ya chuo". aru.ac.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-02. Iliwekwa mnamo 2019-11-02.
Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Ardhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |