Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Aga Khan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo cha Aga Khan


Chuo Kikuu cha Aga Khan ni chuo kikuu binafsi kilichopo nchini Pakistan na matawi katika nchi nyingine mbalimbali, mojawapo likiwa jiji la Dar es Salaam, Tanzania[1].

Historia[hariri | hariri chanzo]

Chuo Kikuu cha Aga Khan kilianzishwa rasmi Tanzania mwaka 2001.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Chuo kikuu cha Aga Khan kinatoa taaluma katika ngazi zifuatazo:

Shahada[hariri | hariri chanzo]

  • Shahada ya Sayansi ya Uuguzi na Ukunga[2]

Shahada ya uzamili[hariri | hariri chanzo]

  • Shahada ya Uzamili katika elimu

Shahada ya uzamivu[hariri | hariri chanzo]

  • Shahada ya Uzamili wa udaktari

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-08.
  2. "Shahada ya sayansi, Tanzania | Chuo Kikuu cha Aga Khan". www.aku.edu. Iliwekwa mnamo 2019-11-08.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Aga Khan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.