Nenda kwa yaliyomo

Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo cha Mt. agustino Tanzania


Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (kwa Kiingereza: Saint Augustine University of Tanzania; kifupi: SAUT) ni chuo kikuu cha Kanisa Katoliki kinachopatikana katika wilaya ya Nyamagana, jiji la Mwanza, Tanzania.[1]

Chuo kilianzishwa mwaka 1998 kikapata usajili wa kudumu mwaka 2002 kama chuo kikuu binafsi.

  • Kitivo cha Sheria
  • Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Mawasiliano
  • Kitivo cha Utawala wa Biashara
  1. "Orodha ya Vyuo vikuu vya Tanzania" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.