Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (kwa Kiingereza: St John's University of Tanzania; kifupi: SJUT) ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana Dodoma, Tanzania.[1] Kilianzishwa mwaka 2007 na kinamilikiwa na kanisa la Anglikana Tanzania.

Chuo kilianza na wanachuo wapatao 811[2] mwaka 2007, kwa sasa kinakadiriwa kuwa na idadi ya wanachuo zaidi ya 4500.

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Chuo kinatoa shahada katika fani za:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Orodha ya vyuo vikuu Tanzania (PDF). Tanzania Commission for Universities. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-07.
  2. Kuhusu chuo cha Mt. Yohana US. www.sjut.ac.tz. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-07. Iliwekwa mnamo 2019-11-07.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.