Moravian Theological College

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Motheco au Moravian Theological College ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania). Kilianzishwa mwaka 1969 huko Chunya na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.

1990 kozi ya BD (Bachelor of Divinity) ilianzishwa.

Tangu 2005 Motheco ilikwisha ikaingia katika Chuo Kikuu Teofilo Kisanji.