Nenda kwa yaliyomo

Ofafa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ofafa ni mtaa wa Nairobi, mji mkuu wa Kenya, eneo bunge la Makadara. Pamoja na Lubumba, ni sehemu ya Jericho.