Mtangawizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mtangawizi
Mitangawizi
Mitangawizi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda: Zingiberales (Mimea kama mtangawizi)
Familia: Zingiberaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mtangawizi)
Jenasi: Zingiber
Mill.
Spishi: Z. officinale
Roscoe

Mtangawizi (Zingiber officinale) ni mmea wa familia Zingiberaceae katika ngeli ya Monokotiledoni. Mizizi yake yanayoitwa tangawizi hutumika kama kiungo katika chakula na unga wake hutumika katika vinywaji na katika chakula pia.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtangawizi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.