Miss Grand International
Miss Grand International Organisation | |
---|---|
(Kithai) มิสแกรนด์อินเตอร์เนชันแนล | |
Habari za jumla | |
Ufupisho | MGI |
Aina | Kampuni |
Motto | (Kiingereza) Stop the wars and violence |
Historia | |
Imara | Novemba 6, 2013 |
Mwanzilishi | ![]() |
Muundo | |
Rais | ![]() |
Makamu wa Rais | ![]() |
Sasa Miss Grand international | ![]() |
Sehemu ya kufanya kazi | Ulimwenguni kote |
Ofisi ya mkuu | ![]() |
Mahali | 1213/414, Soi Lat Phrao 94 (Pancha Mit), Lat Phrao Road, Phapphla, Wang Thonglang, Bangkok, Thailand |
Idadi ya wanachama | Zaidi ya nchi 70 |
Mashirika yanayohusiana | |
Mmiliki | Miss Grand International Co, Ltd. |
Vyombo tanzu | Miss Grand Thailand |
Vyombo vya habari | |
Tovuti | Tovuti rasmi |
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() |

Miss Grand International ni mashindano ya urembo wa kike,[1] uliofanyika kila mwaka tangu 2013.[2] Ilianzishwa nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil[2][3] na ilionekana kuwa moja ya mashindano maarufu ya urembo ulimwenguni.[4][5] Miss Grand International ya sasa ni Valentina Figuera kutoka Venezuela.[6] Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili kama Kenya, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, na Uganda hawajawahi kushinda mashindano haya.
Mshindi[hariri | hariri chanzo]
Mwaka | Miss Grand International | Nchi | Mji mwenyeji | Nchi mwenyeji | Sehemu ya ushindani | Idadi ya wagombea |
---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Janelee Chaparro[2] | ![]() |
Chiang Mai na Bangkok | ![]() |
Impact, Muang Thong Thani | 71 |
2014 | Lees García[7][8] | ![]() |
Sukhothai na Bangkok | ![]() |
Indoor Stadium Huamark | 85 |
2015 | Anea Garcia[9] | ![]() |
Trat, Samut Songkhram na Bangkok | ![]() |
Indoor Stadium Huamark | 78 |
Claire Elizabeth Parker[9] | ![]() | |||||
2016 | Ariska Putri Pertiwi[2][10] | ![]() |
Las Vegas | ![]() |
Westgate Las Vegas | 76 |
2017 | María José Lora[11] | ![]() |
Phu Quoc[12] | ![]() |
Vinpearl Convention Center[12] | 77 |
2018 | Clara Sosa[13][14] | ![]() |
Rangoon | ![]() |
The ONE Entertainment Park[13] | 75 |
2019 | Valentina Figuera[6] | ![]() |
Caracas | ![]() |
Poliedro de Caracas[6] | 60 |
2020 | Caracas | ![]() |
Poliedro de Caracas[6] | 70+ |
Gallery[hariri | hariri chanzo]
-
Miss Grand Internacional 2016 Ariska Putri Pertiwi
Indonesia -
Miss Grand Internacional 2015 Claire Elizabeth Parker
Australia
Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili[hariri | hariri chanzo]
Kitufe cha rangi
- Mshindi
- Finalist
- Semifinalist
Miss Grand Tanzania[hariri | hariri chanzo]
Mashindano ya Miss Grand Tanzania yalifanyika mara moja mnamo 2017, ambayo Batuli Mohamed ndiye mshindi. Mkurugenzi wa kwanza wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Tanzania ni Paula David (2014-2015), na kufuatiwa na Samantha O'Shea Maina mnamo 2017-2019.
Mwaka | Miss Grand Tanzania | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
![]() |
Lorraine Clement Marriot[15] | Miss Grand Tanzania 2014 | 20 | 176 cm | Dar es Salaam | — |
|
![]() |
Jinah Dameckh[16] | Nafasi ya 3 – Miss Grand Tanzania 2014 | Dar es Salaam | Hakujiunga na shindano | |||
![]() |
Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
![]() |
Batuli Mohamed[17] | Miss Grand Tanzania 2017 | 20 | Dar es Salaam | — |
| |
![]() |
Queen Mugesi Ainory Gesase[18] | — | 18 | 178 cm | Dar es Salaam | — |
|
![]() |
Hakuna mwakilishi |
Miss Grand Kenya[hariri | hariri chanzo]
Mnamo 2013, mmiliki wa dhamana ya Miss Grand International nchini Kenya alikuwa Beauties of Africa Organia na Andy Abulime[19] na 2015, ilikuwa shirika la Miss Kenya.[20][21][22]
Mwaka | Miss Grand Kenya | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
Pauline Akwacha[19] | Top 10 – Miss World Kenya 2012 | 22 | Kisumu | — | — | |
![]() |
Hakuna mwakilishi | ||||||
![]() |
Elaine Wairimu Mwangi[20][21] | Miss Grand Kenya 2015 (katika shindano la Miss Kenya 2015) |
22 | Nairobi | — | — | |
2016 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Kongo[hariri | hariri chanzo]
Kuna mwakilishi mmoja tu wa Kongo kwa Miss Grand International mnamo 2014, Naise Gumanda,[23][24] lakini hakujiunga na shindano hilo.
Mwaka | Miss Grand Congo | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
Hakuna mwakilishi | ||||||
![]() |
Naise Gumanda[23][24] | — | Hakujiunga na shindano | ||||
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Rwanda[hariri | hariri chanzo]
Rwanda ilijiunga na Miss Grand International mara moja mnamo 2016 na Sonia Gisa.[25]
Mwaka | Miss Grand Rwanda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2014 – 2015: Hakuna mmiliki wa haki nchini | |||||||
![]() |
Sonia Gisa[25] | — | 25 | 169 cm | Karongi | — | — |
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Miss Grand Uganda[hariri | hariri chanzo]
Mkurugenzi wa mwisho wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Uganda ni Nsubuga Ronnie katika toleo la 2017. Tangu wakati huo, hakuna wawakilishi wa Uganda kwenye mashindano haya.
Mwaka | Miss Grand Uganda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
Pierra Akwero[26] | Miss International Uganda 2009 | 26 | Entebbe | — | — | ||
![]() |
Hakuna mwakilishi | |||||||
![]() |
Lilian Gashumba[27] | — | 26 | 180 cm | Kampala | — | — | |
![]() |
Hakuna mwakilishi | |||||||
![]() |
Priscilla Achieng[28] | Miss Earth Uganda 2016[29] | 24 | 175 cm | Tororo | — | — | |
2018 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sashes&Scripts Official (2019-05-18). Age Requirements for Major International Pageants (en). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 201-11-12.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 Voltaire E. Tayag (2017-10-21). Miss Grand International: A Pageant for Peace (en). The Rappler. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-07-15. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Alexa Villano (2019-10-23). What you need to know about the Miss Grand International pageant (en). The Rappler. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Brigitte Ferguson (2019-07-07). Miss Grand Australia Beauty Pageant (en). F Magazine Online. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Global Beauties (2019-02-12). Meenakshi Chaudhary, Miss India Grand, is Miss Grand Slam 2018!. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.
- ↑ 6.0 6.1 6.2 6.3 Metro Puerto Rico (2019-10-28). Valentina Figuera conquista Miss Grand International en su tierra (Kireno). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-05. Iliwekwa mnamo 2019-10-30.
- ↑ Hot in Juba (2014). Miss Grand International Lees Garcia is in Juba (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-09-27. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.
- ↑ Miss Grand International (2015-05-23). Lees Garcia - Miss Grand International 2014 Inside The Refugee Camp (Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ 9.0 9.1 Jenna Clarke (2016-03-02). Sexual assault allegations engulf Miss Grand International as Claire Parker adopts crown (Kiingereza). The Sydney Morning Herald. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11.
- ↑ Concurso Nacionalde Beleza (2017-04-21). Conheça os detalhes sobre o Miss Grand International 2017! (Kireno). Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
- ↑ Global Beauties (2017-10-25). Miss Grand International 2017 is Miss Peru! (Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
- ↑ 12.0 12.1 12.2 Global Beauties (2017-05-24). Miss Grand International 2017 in Vietnam – Official Press Conference (Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-27.
- ↑ 13.0 13.1 Rappler.com (2018-10-26). Miss Grand International 2018 Clara Sosa faints on stage after winning title (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 2018-11-12.
- ↑ Testbook.com (2018). Current Affairs Capsule October 2018 October 2018 (in Kiingereza). Testbook.com, 28.
- ↑ Miss Grand International Organization (2013). Miss Grand Tanzania 2013 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-05-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Angelopedia (2015-09-19). Jinah Dameckh to represent Tanzania at the Miss Grand International 2015 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Global Beauties (2017-08-12). Miss Grand Tanzania 2017 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-09-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
- ↑ Irina Silva (2018-08-27). Queen Mugesi Ainory Gesase crowned Miss Grand Tanzania 2018 (Kiingereza). Angelopedia. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-21.
- ↑ 19.0 19.1 Maureen Odiwour (2014-01-26). Beauty beyond skin (Kiingereza). Standard Media. Jalada kutoka ya awali juu ya 2014-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 20.0 20.1 Thegreatpageantcommunity (2015-08-12). Linda Gatere is Miss Earth Kenya 2015 [Photos] (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 21.0 21.1 Angelopedia (2015-08-12). Elaine Wairimu Mwangi crowned Miss Grand Kenya 2015 (Kiingereza). Angelopedia. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Capital campus (2015-06-09). Are you the next Miss Kenya? here is what organisers are looking for (Kiingereza). Capital FM. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 23.0 23.1 Pageantlovely (2014-08-01). Miss Grand Congo 2014 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-10-11. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 24.0 24.1 Officialmisssierraleoneusa (2014-09-16). Miss Sierra Leone USA Talks Miss Grand International 2014 - Queens of Africa (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-02-08. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ 25.0 25.1 Miss Grand International Organisation (2015). Miss Grand Rwanda 2015 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Miss Grand International Organisation (2013). Miss Grand Uganda 2013 (Kiingereza). Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-05-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Stella Nassuna (2015-10-14). Ugandan girl finds it hard going in miss grand international (Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Denzel Shantel (2017-09-23). Former Miss Earth needs 3M to fly to Vietnam to represent Uganda at Miss Grande Internationale (Kiingereza). Showbiz Uganda. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
- ↑ Musa Ssemwanga (2016-09-06). Tororo’s Priscilla Achieng crowned Miss Earth Uganda (Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-09-24. Iliwekwa mnamo 2020-01-22.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti rasmi ya Miss Grand International
- Ukurasa rasmi wa Facebook wa Miss Grand International
- Rasmi Instagram ya Miss Grand International
- Rasmi Twitter ya Miss Grand International
- Idhaa rasmi ya Youtube ya Miss Grand International