Dini asilia za Kiafrika : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Dini asilia za Kiafrika''' ni kati ya [[dini za jadi]] ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake wanapungua mwaka hadi mwaka kulingana na [[dini]] zilizotokea [[Mashariki ya Kati]], hasa [[Ukristo]] na [[Uislamu]].
'''Dini asilia za Kiafrika''' ni kati ya [[dini za jadi]] ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake wanapungua mwaka hadi mwaka kulingana na [[dini]] zilizotokea [[Mashariki ya Kati]], hasa [[Ukristo]] na [[Uislamu]], ambazo zinazidi kuenea [[Bara|barani]] [[Afrika]].


Dini za Kiafrika zinafuata [[imani]] maalumu, sawa kabisa na hizo za nchi za ughaibuni ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia ma[[pango]]ni au [[msitu|misituni]] kama Waafrika walio wengi, zimehimiza kujenga ma[[kanisa]] na [[misikiti]] kwa ajili ya kumwabudu [[Mungu]].
Dini za Kiafrika zinafuata [[imani]] maalumu, sawa kabisa na hizo za nchi za ughaibuni ambazo zimeleta mfumo mpya wa [[Ibada|kuabudu]]. Badala ya kuabudia ma[[pango]]ni au [[msitu|misituni]] kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa [[karne]] nyingi, zimehimiza kujenga ma[[kanisa]] na [[misikiti]] kwa ajili ya kumwabudu [[Mungu]] kadiri ya [[ufunuo]] wake mwenyewe.


[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kupitia wafu wanaoheshimiwa kama [[watakatifu]], wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi wazee wao waliokufa na kuwaita [[mizimu]]. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye ma[[kaburi]] yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa [[sala]] zao pamoja na kusujudu pengine [[picha]] za hao wafu.
[[Madhehebu]] mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kwa kushirikiana na [[wafu]] wanaoheshimiwa kama [[watakatifu]], wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi [[wazee]] wao waliokufa na kuwaita [[mizimu]]. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye ma[[kaburi]] yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa [[sala]] zao pamoja na kusujudu pengine [[masalia]] au [[picha]] za hao wafu.


Katika [[Amri Kumi]] za [[Biblia]], Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.
Katika [[Amri Kumi]] za [[Biblia]], Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa [[Wazungu]]: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu [[wazazi]] wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.


Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea [[wokovu]] kwa njia ya [[Yesu Kristo]], aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika [[binadamu]] wote.Pamoja na hayo yote bado baadhi ya makabila yana endelea na mila zao za kuheshimu wafu ingawa dini tulizoletewa zenye asili ya mashariki ya kati zinatukataza tusifanye hivyo.
Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea [[wokovu]] kwa njia ya [[Yesu Kristo]], aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika [[binadamu]] wote.
Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya ma[[kabila]] yanaendelea na [[mila]] zao za kuheshimu wafu ingawa dini zenye asili ya Mashariki ya Kati zinakataza namna hiyo.


{{mbegu-dini}}
{{mbegu-dini}}


[[Jamii:Dini za Afrika|*]]
[[Jamii:Dini za Afrika|*]]

[[en:Traditional African religion]]

Pitio la 13:48, 5 Februari 2016

Dini asilia za Kiafrika ni kati ya dini za jadi ambazo zinadumu hata leo, ingawa wafuasi wake wanapungua mwaka hadi mwaka kulingana na dini zilizotokea Mashariki ya Kati, hasa Ukristo na Uislamu, ambazo zinazidi kuenea barani Afrika.

Dini za Kiafrika zinafuata imani maalumu, sawa kabisa na hizo za nchi za ughaibuni ambazo zimeleta mfumo mpya wa kuabudu. Badala ya kuabudia mapangoni au misituni kama Waafrika walio wengi walivyofanya kwa karne nyingi, zimehimiza kujenga makanisa na misikiti kwa ajili ya kumwabudu Mungu kadiri ya ufunuo wake mwenyewe.

Madhehebu mengi ya Kikristo yamekuwa yakimuabudu Mungu kwa kushirikiana na wafu wanaoheshimiwa kama watakatifu, wakati Waafrika tangu zamani waliwaenzi wazee wao waliokufa na kuwaita mizimu. Waafrika hao tangu zamani waliwaheshimu wafu kwenye makaburi yao, lakini baadhi ya Wakristo waliwaheshimu wafu kanisani kwa sala zao pamoja na kusujudu pengine masalia au picha za hao wafu.

Katika Amri Kumi za Biblia, Waafrika kwa jumla walikuwa nazo hata kabla ya kuja kwa Wazungu: walijua kwamba imewapasa kuwaheshimu wazazi wao, kutoua, kutoiba wala kufanya kinyume na maagizo ya wazee wao.

Kwa mtazamo wa Kikristo, Mungu mwenyewe ndiye aliyewaandaa hivyo Waafrika kupokea wokovu kwa njia ya Yesu Kristo, aliyekuja si kutangua bali kukamilisha yale yote yaliyo mema katika binadamu wote.

Pamoja na hayo yote, bado baadhi ya makabila yanaendelea na mila zao za kuheshimu wafu ingawa dini zenye asili ya Mashariki ya Kati zinakataza namna hiyo.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.