Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Magharibi (Kenya)"

Jump to navigation Jump to search
d
clean up using AWB
d (clean up using AWB)
'''Mkoa wa Magharibi''' (''Western Province'') ni mkoa mdogo kati ya mikoa ya [[Kenya]] ni pia mkoa mwenye msongamano mkubwa wa watu. Umepakana na [[Uganda]] na mikoa ya Kenya ya Nyanza na Bonde la Ufa.
 
Eneo lake ni 8,285  km² pekee kuna wakazi 3,569,400 hivyo hukaa zaidi ya watu 400 kwa kila kilomita ya mraba. Wakazi wa Magharibi ni hasa Abaluhya ([[Waluhya]]). Mji mkuu ni [[Kakamega]].
 
Nchi ya mkoa limeenea kutoka vilima vya [[Bungoma]] mpakani wa [[Uganda]] hadi tambarare karibu na [[Ziwa Viktoria]]. Mlima mkubwa wa pili wa Kenya ni [[Mlima Elgon]] uko ndani ya mkoa kwenye mpaka wa Uganda. Msitu wa Kakamega ni kati ya misitu asilia ya mwisho wa Kenya.
| [[Wilaya ya Vihiga|Vihiga]] || [[Vihiga]]
|}
 
 
{{Mikoa ya Kenya}}
20,706

edits

Urambazaji