Khi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Khi uc lc.svg
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pi 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Sho 90
Heta 8 Koppa 90
Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Khi (Χ χ) ni herufi ya ishirini na mbili katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama χ (alama ya kawaida) au Χ (alama kubwa).

Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu, ikiwa alama ya namba 600.

Matamshi yake yalikuwa "kh".

Katika alfabeti zinazofuata mfano wa Kigiriki ilipokelewa katika alfabeti ya Kilatini kama "X" na katika alfabeti ya Kikirili kama "X".

Herufi hiyo inatumiwa na Wakristo kuwakilisha Kristo, jina ambalo kwa Kigiriki linaanza na khi.

Kama herufi nyingine za lugha hiyo, khi inatumika katika hisabati na sayansi kama kifupisho cha dhana na vipimo mbalimbali.