Nenda kwa yaliyomo

Heta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Α α Alfa 1 Ν ν Ni 50
Β β Beta 2 Ξ ξ Ksi 60
Γ γ Gamma 3 Ο ο Omikron 70
Δ δ Delta 4 Π π Pai 80
Ε ε Epsilon 5 Ρ ρ Rho 100
Ζ ζ Dzeta 7 Σ σ ς Sigma 200
Η η Eta 8 Τ τ Tau 300
Θ θ Theta 9 Υ υ Ipsilon 400
Ι ι Iota 10 Φ φ Phi 500
Κ κ Kappa 20 Χ χ Khi 600
Λλ Lambda 30 Ψ ψ Psi 700
Μ μ Mi 40 Ω ω Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Koppa 90
Heta 8 Sampi 900
Yot 10 Sho 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Heta (kigiriki ἡτα ikaandikwa kama Ͱ au ͱ) ilikuwa kiasili herufi ya nane ya alfabeti ya Kigiriki. Sauti yake ilikuwa kama H. Asili yake ilikuwa Heth ya Kifinisia.

Baadaye ilifutwa katika alfabeti ya Kigiriki kwa sababu lugha ilipoteza sauti hiyo.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]