Lambda
Mandhari
Alfabeti ya Kigiriki | |||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|
Herufi za kawaida | |||||||
Α α Alfa | 1 | Ν ν Ni | 50 | ||||
Β β Beta | 2 | Ξ ξ Ksi | 60 | ||||
Γ γ Gamma | 3 | Ο ο Omikron | 70 | ||||
Δ δ Delta | 4 | Π π Pi | 80 | ||||
Ε ε Epsilon | 5 | Ρ ρ Rho | 100 | ||||
Ζ ζ Dzeta | 7 | Σ σ ς Sigma | 200 | ||||
Η η Eta | 8 | Τ τ Tau | 300 | ||||
Θ θ Theta | 9 | Υ υ Ipsilon | 400 | ||||
Ι ι Iota | 10 | Φ φ Phi | 500 | ||||
Κ κ Kappa | 20 | Χ χ Khi | 600 | ||||
Λλ Lambda | 30 | Ψ ψ Psi | 700 | ||||
Μ μ Mi | 40 | Ω ω Omega | 800 | ||||
Herufi za kihistoria1 | |||||||
Digamma | 6 | San | 90 | ||||
Stigma | 6 | Sho | 90 | ||||
Heta | 8 | Koppa | 90 | ||||
Sampi | 900 | ||||||
1 Viungo vya Nje: Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje |
Lambda ni herufi ya kumi na moja katika Alfabeti ya Kigiriki. Lambda kubwa Λ ina umbo la pembe yenye ncha juu, ni tofauti na lambda ndogo λ.
Kwa matumizi ya tarakimu inamaanisha namba 30.
Matamshi yake ni sawa na "L" kwa Kiswahili.
Matumizi ya kisayansi
[hariri | hariri chanzo]Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na sayansi. Mifano kadhaa ni
- katika fani ya fizikia lambda ndogo λ ni alama ya urefu wa wimbi
- katika fani ya jiografia lambda kubwa Λ inataja longitudo