1868
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1830 |
Miaka ya 1840 |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860
| Miaka ya 1870
| Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| ►
◄◄ |
◄ |
1864 |
1865 |
1866 |
1867 |
1868
| 1869
| 1870
| 1871
| 1872
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1868 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 11 Juni - Tekle Giyorgis II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi.
- 10 Oktoba - Nchi ya Kuba inapata uhuru kutoka Hispania.
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 31 Januari - Theodore William Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1914)
- 22 Machi - Robert Millikan (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1923)
- 14 Juni - Karl Landsteiner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 22 Novemba - John Garner, Kaimu Rais wa Marekani
- 9 Desemba - Fritz Haber (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918)
bila tarehe
- Charles Warren, mwanahistoria kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 3 Aprili - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 13 Aprili - Tewodros II, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1 Juni - James Buchanan, Rais wa Marekani (1857-1861)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: