Maria Goretti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Sanamu ya Mt. Maria Goretti katika mavazi ya mkulima akishika maua na kisu.
Nyumba alimopigwa Maria Goretti.

Maria Goretti (Corinaldo, Ancona, Italia, 16 Oktoba 1890 - Nettuno 6 Julai 1902) alikuwa bikira ambaye alikataa mfululizo kuzini na Alessandro Serenelli, mpaka huyo akamchoma mara kadhaa kwa kifaa cha chuma.

Kabla hajafa hospitalini, Maria alimsamehe muuaji wake, ambaye baada ya miaka mingi gerezani aliongoka na kwenda kuishi utawani kwa Wakapuchini.

Alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri tarehe 27 Aprili 1947 na kuwa mtakatifu tarehe 24 Juni 1950.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe ya kifodini chake, 6 Julai ya kila mwaka.

Filamu juu yake[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Beatificationis seu declarationis martyrii Mariae Goretti, Roma, 1938-1939 (atti della causa di beatificazione).
  • Compendium vitae virtutum ac miracolorum Beatae Mariae Theresiae Goretti, Typis Polyglottis Vaticani, 1950 (atti della causa di canonizzazione).
  • A proposito di Maria Goretti: santità e canonizzazioni: atti della Commissione di studio istituita dalla Congregazione per le cause dei santi il 5 febbraio 1985, Città del Vaticano, Libreria Editrice Vaticana, 1986.
  • Giovanni Alberti, Maria Goretti, Città Nuova Editrice, 1980. ISBN 88-8386-150-7.
  • Giordano Bruno Guerri, Povera santa, povero assassino. La vera storia di Maria Goretti, Mondadori, Milano, 1985 - edizione aggiornata e integrata Bompiani, Milano, 2008.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Goretti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.