Ziwa Nyinambuga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Nyinambuga ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Kabarole) lililopo katika kasoko ya volikano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]