Ziwa Kayumbu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Kayumbu (au Kayumba) ni ziwa dogo la Uganda, karibu na ziwa Chahafi (wilaya ya Kisoro).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Orodha ya maziwa ya Uganda