Ziwa Nabugabo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Nabugabo ni ziwa dogo la Uganda kusini kwa Ikweta, katika wilaya ya Masaka.

Ziwa hilo liko kilometa 4 kutoka Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 5,000 iliyopita.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]