Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Bunyonyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.
Ziwa Bunyonyi

Ziwa Bunyonyi (yaani Mahali pa vindege wengi) ni ziwa dogo la Uganda lililopo kwenye kwenye kusini ya nchi hiyo, wilaya ya Kabale, karibu na mpaka wa Rwanda.[1]

Ziwa lina urefu wa kilomita 25 na upana wa kilomita 7. Eneo lake ni hektari 6100. Kuna visiwa 29.

  1. Maclean, Ilya. (2003). Social and economic use of wetland resources : a case study from Lake Bunyonyi, Uganda. Centre for Social and Economic Research on the Global Environment. OCLC 1064481271.

Kujisomea

[hariri | hariri chanzo]
  • UNEMA (2009), Uganda: Atlas of our Changing Environment (PDF), Uganda National Environment Management Authority, uk. 94, ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-07-12, iliwekwa mnamo 2022-07-24
  • Visser, S.A. (1962), "Chemical Investigations into a System of Lakes, Rivers and Swamps in S.W. Kigezi, Uganda", East African Agricultural and Forestry Journal, 28 (2): 81–86, doi:10.1080/00128325.1962.11661848

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: