Ziwa Nyamusingire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Nyamusingire ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Rubirizi) lililopo katika kasoko ya volikano.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]