Ziwa Nkugute
Mandhari
Ziwa Nkugute ni ziwa dogo la Uganda lililopo katika kasoko ya volikano karibu na Buhera (wilaya ya Rubirizi).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Nkugute kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |