Nenda kwa yaliyomo

Ziwa Mwegenyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa Mwegenyi ni ziwa dogo la Uganda (wilaya ya Kabarole) lililopo katika kasoko ya volikano.