Ziwa Kyaninga
Mandhari
Ziwa Kyaninga ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta, katika wilaya ya Kabarole.
Ziwa hilo liko katika kasoko ya volikano na lina eneo la kilometa mraba 0.27.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kyaninga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |