Ziwa Kwania
Mandhari
Ziwa Kwania ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta.
Ziwa hilo hupokea maji kutoka mto Adip na mto Abalang na huyamwaga katika Viktoria Nile.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Kwania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |