Ziwa Duluti
Mandhari
Ziwa Duluti ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania. Linapatikana katika mkoa wa Arusha kwenye barabara kati ya Moshi na Arusha katika mji mdogo wa Tengeru.
Uso wa ziwa unapatikana kwenye kimo cha mita 1290 juu ya UB; eneo la maji ni Km² 0.6. Kina chake ni takriban mita 9. Hupokea maji yake kutoka chemchemi chini yake na kupoteza maji kwa njia ya uvukizaji, maana hakuna mito inayoingia wala kutoka[1]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Nancy P. Mduma, Hans C. Komakech, Jing Zhang, Alfred N.N Muzuka: Application of isotopes and water balance on Lake Duluti-groundwater interaction, Arusha, Tanzania, Hydrology and Earth System Sciences, Published: 8 June 2016, kupitia researchgate.net
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Duluti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |